Biashara ya nje ya China inaonyesha dalili za kuimarika huku kiasi cha uagizaji na mauzo ya nje kikiboreshwa mwezi Machi, kulingana na data ya forodha iliyotolewa Aprili 14.Ikilinganishwa na kushuka kwa wastani kwa asilimia 9.5 mwezi Januari na Februari, biashara ya nje ya bidhaa ilipungua kwa asilimia 0.8 mwaka hadi Machi, ...
Soma zaidi